Sunday, 2 September 2012

Kiatuzi cha mtoko

Kiatu hiki cha mngaro ni maalum kwa ajili ya mtoko wa jioni na kinapatikana kwenye rangi ya silver na gold. Urefu wake ni inch 4 1/2 , kiko very comfortable hasa kwa wale wanaopenda viatu virefu vyenye kisigino kinene .Mambo yote haya utayapata viatuzi tu

No comments:

Post a Comment

New arrivals

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...