Viatuzi hivi vinaweza kuvaliwa kazini,au hata kwenye shughuli yote inategemea ni nguo gani utakayokivalia . Hapa chaguo ni lako mwenyewe . Kwani hivi ndio vile tunaviita bana matumizi au multi purpose , kwani kanisani kina kwenda , kazini kipo, kitchen party na kitenge chako unakivaa. Mambo haya yanakuja kwenye Mzigo wa September .
No comments:
Post a Comment