Tuesday, 21 February 2012

Clutch bags


Clutch bags ni vipochi vidogo ambavyo hutumika sana , pale tunapotoka jioni kwenda muziki , au kwenye sherehe , na hivi vinatumia badala ya mikoba mikubwa ambayo huwa tunabeba kwenda kazini mchana .  Vipochi hivi hutusaidia wadada kuweka vitu vyetu kama simu , na poda zetu kwani nguo zetu nyingi hazina mifuko kama yalivyo makoti ya kina kaka .
Clutch bags ni moja ya viambatanisho na  mambo yote haya utayapata viatuuziiii tu kwa bei poa kabisa , pbei zetu za clutches zinaanzia 40,000- 75,000/- .Karibu ujipati clutch ya kumechisha na nguo yako au ya kufanyia ,a,bo ya colour blocking .

Monday, 20 February 2012

Flat shoes and sandals








Flat shoes na sandals ni viatu ambavyo vinafaa sana pale wakati mtu unakuwa haujisikii kuvaa mchuchumio , kama kawaida bei zetu ni poa kabisa , flat shoes zinauzwa kati ya Tsh 35,000- 85,000/- karibuni

Viambatanishozi





















Kiatuzi mwezie kiambatanisho, hakuna kitu cha muhimu kama kuwa na viatuzi vizuri na viambatanisho vizuri kama vinavyoonekana hapo juu , mambo yote haya yanapatikana viatuzi kwa bei poa kabisa yaani kuanzia Tsh 5000- 30,000/-  Karibuni

Tuesday, 14 February 2012

Mixed Prints clothes

Baada ya colour combo au colour blocking kutesa sana kwenye ulimwengu wa fashion , sasa mambo yamebadilika , mwaka huu ni mambo ya kumix au kuchanganya prints za nguo mbalimbali . Kama unavyoona hapo kwenye picha unaweza kuvaa big prints ukachanganya na small prints . Hapa ni wewe tu .

Viatuzi vya shughuli na mtoko

Wedges are forever in shoes , just lIke diamonds in precious stones, depending on how they are made , wedges are always on point . Wedges zinawafaa sana watu ambao hawapendi kisigino chembamba lakini wanataka kuvaa viatu ambavyo viko juu,  pia ni nzuri kwa sie tunaopenda michuchumio regardless of the style .  Viatuzi hivi unaweza kuvivaa mchana au jioni , the choice is yours , they can be worn with a dress , skinny jeans , leggings  etc.
A beautiful pair for the special event ,  this can be a wedding , nite out with friends or any other event as  I have mentioned , its comfortable and very dressy  . Rangi zake zinakuwezesha kukivaa na nguo zaidi ya tatu .
Hot pink , is like new black , kwani unaweza kuitumia kublock the colours kwenye nguo zako pia , unaweza kuitumia kungarisha nguo haswa pale unapokuwa umevaa dark colours kama nyeusi , dark blue , dark purple n.k
Ukiwa kama mwanamke , ni jambo la muhimu sana kuhakikisha kwamba unaponunua viatuzi vyako , uwe unachanganya rangi , yaani uwe unanunua viatuzi vya rangi mablimbali kwani hii itakusaidia kutoka tofauti kila siku na wakati wote.
I love the mixture of tangerine orange and nude is beautiful , yaani hapa unaweza kukaamu kuvaa na viambatanisho  vya orange au gold na ukatoka poa.    
VIATUZI HIVI VINAPATIKANA VIATUZI KWA BEI POA KABISA , KARIBUNI.

Pata mwonekano


Kibongo bomgo hii rangi tunaiita orange , lakini kwenye ulimwengu wa fashion or kwa kizungu inatwa tangerine orange , hii ni moja kati ya rangi ambazo ziko kwenye chati. Na haya mambo yatapatikana viatuzi very sooon. Kama vipi toa oda yako ili kuhakikisha kwamba unapata chako .