Place Your Order

Je umeona kiatu na ungependa tukuletee ? Kama jibu ni ndio basi tutumie picha ya kiatuzi au kiambatanisho ambacho umekipenda kwenye viatuzi@gmail.com au BBM , na sie tutakuagizia . Tunapokea oda za viatu vya harusi, viatu vya wasimamisi  wa harusi , viatu vyako binafsi hata iwe pair moja hakuna shida , wasiliana nasi ili uweze kuagiza kitu roho inapenda na upendeze.

N.B Ili kuepuka usumbufu hakikisha kwamba unatoa oda yako angalau wiki 5 kabla ya shughuli, ili kutupa muda muafaka wa kukileta.

 Viatuzi lovers

Viatuzi lovers, is there a pair that you would love to own but we didn’t have your size ,style , design or color and you would like us to buy an deliver it here in Dar es Salaam? If the answer is yes, please send us an email; viatuzi@gmail.com or BBM us at with all specifications such as your size, color, heel height or even the link or the picture of the shoe you like or you can visit any of our stores, our sales assistants will take your order and we will be honored to order and deliver it to you.

No comments:

Post a Comment

New arrivals

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...