Huyu dada kwenye picha ana blog yake ambayo link yake ni
http://www.jadore-fashion.com/ . Kitu ambacho napenda kuhusu yeye ni jinsi anayopangilia viatuzi na viwalozi vyake , kikubwa zaidi ni pale ambapo nilikuta kuna Viatuzi ambavyo yeye anavyo na Viatuzi tunavyo au tumeshawauzia watu.
Kama kiatu hapo juu , kipo viatuzi na bei yake ni Tsh.178,000/- ingawa cha mwanadada ni Topshop , chetu sie ni cha Kurt Geiger na kinapatikana kwenye size 7uk ( 41) . Karibuni
No comments:
Post a Comment