Viatuzi , leo tumeamua kushare na nyie harusi ya Afire ambae ni mwanachama wa shoelovers, kwa bahati mbaya sana sijapata picha nzuri ya kiatuzi cha bi.harusi na wapambe wake ambavyo vilipatika viatuzi . Ila kiatuzi chake na vya wasimamizi wake vilikuwa balaaaa , mambo ya spesho oda . Afire na wapambe wako mlipendeza sana . Kwa niaba ya Shoelovers ninakutakia heri na baraka tele katika ndoa yako.
No comments:
Post a Comment