Bibi harusi mtarajiwa , kama unavyojua siku hizi mtu anaweza kuamua na kuvaa kiatuzi cha colour of the wedding au au lake analoshika . Hivyo basi kama ua lako ni jekundu waweza kuvaa kiatu cheupe , ivory. silver au hata chekundu kama kinavyo onekana pichani.
No comments:
Post a Comment