Sunday, 9 October 2011

Viatuzi Wedding Collection

Bi Harusi mtarajiwa, hivi karibuni tunatarajia kupata mzigo mpya wa Viatuzi vya Oct/Nov. Nimeona niwawekee picha za viatuzi amabvyo vinaweza kupatikana kwenye mzigo wetu unaokuja, ili kuwapa nafasi ya kuchagua   kiatu ambacho unakitaka. Hivyo basi  ni vema ukatoa oda ya kiatu chako cha harusi mapema.  Kati ya 10/10/11 - 15/10/11  tutakuwa tunachukua oda zenu za viatuzi . wasliana nasi kwa number 0715850855 au tutumie email Viatuzi@gmail.com . Ili tukuelekeze ni njisi gani unaweza kutoa oda yako ya viatuzi vya siku yako maalum.

No comments:

Post a Comment

New arrivals

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...