Sunday, 8 January 2012

Mariam na Viatuzi vyake.


Nimependa sana , mpangilio wa rangi , kuanzia juu , hadi chini kwenye viatuzi ambako ndio kuna nihusu saaaana . Viatuzi vya bimdo ni kutoka Sea View Viatuzi . Dada yangu ukitaka mambo kama haya hakikisha unakuja dukani kwetu , kwani ni Viatuzi tu utapa mambo kama haya kwa bei poa , na pia unaweza kuweka au kutoa special order . Na pia tuna good payment plan , karibu ututembelee tuongee na tukuchagulie Viatuzi kwa ajili ya mitoko mbalimbali.

No comments:

Post a Comment

New arrivals

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...