Tuesday, 31 January 2012
Punguzo la bei kwenye viambatanisho
Wiki hii tutakuwa na punguzo kubwa la bei kwenye viambatanisho vyetu vyoote yaani accessories , punguzo hili ni la asilimia 50% ,wahi sasa upate viambatanisho kwa bei poa kabisa .
Bangili zitauzwa Tsh 14,000
Pete zitauzwa Tsh 12,500-15,000
Hereni zitauzwa Tsh 2500- 12,500
KARIBUNI SANA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment