Shamim akiwa na Shosti wake , huku kabeba mfuko wake kutoka Viatuziiii , asante kwa kutupa big up na kuhakikisha kwamba tukio linanaswa kwenye camera.
Umependeza mdada , na shosti wako pia kapendeza saana tu , Viatuzi na kitop sha shamim ni kutoka Viatuziiiiiiii Seavie Ocean Road . Karibuni saaana,.
No comments:
Post a Comment