Monday 23 April 2012

Get the shoes

Haya mambo ni viatuzi tu , hakuna sehemu nyingine ambayo utapata viatuzi vilivyo kwenye fashion kwa muda muafaka , ni kwetu tu. Kama umevizimikia na unataka cha kwako , tuwasiliane basi.

2 comments:

  1. naomba kujua picha za viatu zilizowekwa huku ndo viatu vilivyopo dukani?

    ReplyDelete
  2. Hi there.Hivi viatu vyote vilivyo ndani ya blog vinapatikana madukani kwetu.Tuna collection mpya kila mwezi.Kama umependa kiatu chochote hapa, kwa uhakika wa kupata size yako na rangi utakayo, wasiliana nasi kwenye namba ya simu as soon as ukiona post mpya.xoxo

    ReplyDelete

New arrivals

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...