Shoe lovers , kwanza poleni sana na ukimya wa muda mrefu , hii ni kwa sababu mbili tatu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wangu , lakini sasa nimerudi kijiweni , tayari kabisa kuwaletea mabo mapyyyyyyyyyyyyyyyyyyyya.
JUMAMOSI 7/04/2012 , SAA TATU ASUBUHI , TUNAFUNGUA MZIGO MPYA WA VIATUZI, ACCESSORIES , CLUTCH BAGS N.K
BAADHI YA VIATUZI NIMEWEKA HAPO CHINI , NA VINGINE VINGI VIPO DUKANI , PAMOJA MA SURPRISE KIBAO ZA PASAKA , HIVYO BASI USIKOSE........
KARIBUNI WOOOOOOTE
No comments:
Post a Comment