MZIGO MPYA WA VIATUZI NA VIAMBATANISHO UMEWASILI , SAFIRI HII TUNA VIATUZI VYA HARUSI VINGI, MIKOBA, CLUTCH BAGS , HERENI , CHAIN , N.K . WAHI SASA USIJE UKAKOSA KILE AMBACHO ROHO YAKO ILIKIPENDA ZAIDI.
DUKA LETU LA UPANGA LIPO WAZI JUMATATU HADI IJUMAA SAA TATU ASUBUHI HADI SAA MBILI USIKU , NA LILE NA MBUYUNI NI SAA TATU ASUBUHI HADI SAA KUMI NA BILI NA NUSU.
JUMAMOSI TUPO KUANZIA SAA TATU ASUBUHI HADI SAA KUMI NA MBILI , WAKATI SIKU ZA SIKUKUU ZA KIDINI NA KITAIFA TUNAFUNGUA SAA TATU ASUBUHI MPAKA SAA NANE MCHANA.
No comments:
Post a Comment