Thursday 19 April 2012

Pumps zinazokuja MAY

Anitha
Mariana

Diana
ally
rose

amanda
aisha
yasmine

kath
tina
Karisa
Mary
Shoe Lovers , mwezi May ndio huo unakaribia , wakati huo sie tunajiandaa kukuletea mambo mazuri kabisa , kama ilivyo kawaida yetu kila mwenzi lazima tukuletee mambo mapya ndani ya viatuzi , leo nimeona  nivigawe kwa makundi ili kukurahisishia mdau na pia kukupa fursa ya kuchagua kile ambacho unataka. Safari hii na nyingine zijazo nataka kila mtu apate kile kitu ambacho roho yake inapenda , sasa kama umeona kiatuzi hapa na ukakipenda tafadahli tuwasiliane ili niweze kukuagizia , siku mzigo unakuja , unakuta nimeshakuwekea kwenye mfuko, wewe unalipia na kuondoka tu.        


No comments:

Post a Comment

New arrivals

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...