Kwa wake wapenzi wa cap toe shoes , Leo ninawaletea habari njema. Kwa ni tofauti na hapo nyuma cap toes zilikuwa za michuchumio tu, lakini sasa kuna flat kama unavyoziona hapo , Leo nimewaletea cap toes shoes za flat , mambo yote haya yanakuja soon madukani kwetu .........
No comments:
Post a Comment