Wegdes
Wapenzi wa wedges , mtindo mpya wa wedge ndio huuo umeingia tofauti na zile za zamani ambazo tumezizoea hizi shurti kisigino kinaingia ndani kidogoo , na kuwa zinapendeza kweli zilvaliwapo na jeans , tights au kugauni kifupi . Kama umeipenda na unataka upate yako kama hii tuwasiliane nikuletee usije ukakosa size yake maana ndio wedges amabzo super stars wanazivaa........... nitangie 0715850855 utoe oda ya chako .
No comments:
Post a Comment