Wednesday, 5 September 2012

Michuchumio

Mchuchumio au skuna , ni majina ambayo viatuzi virefu vilikuwa vinaitwa enzi hizi kina sie tupo wadogo wadogo , sijui kwanini aliyetunga kina hili aliamua hivyo , lakini kusema kweli huwa neno hili linanifurahisha sana . Hapo chini nimekuwekea michichumio ya aina mbalimbali kwa ajili ya shughuli tofauti . Hizo high heel sandals nyeusi zinaweza kuvaliwa na gauni , sketi au hata suruali. Miundo kama hiyo huwa si ya kuvaliwa ofisini maana kipo wazi sana , ofini kinapendeza kiatuzi cha kidogo kama hiyo nude au peep toe na sling back fulani. Huo ni mtazamo wangu .

No comments:

Post a Comment

New arrivals

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...