Wednesday, 7 November 2012

Clutch bags

Ukitoka jioni au kwenda kwenye shughuli zetu ambazo
ni nyingi shurti ubebe clutch bag. Sio ule mkoba wako mkubwaaaaa wa kuendea job. Mambo kama haya ni viatuzi tuuuuu ndio utayapata , unaweza kureserve au kuvingoja vifike ununue .

No comments:

Post a Comment

New arrivals

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...