Friday, 28 December 2012

Office shoes
Mwaka mpya ndio huuo unakuja ,kama unavyojua mwaka mpya na mambo mapya , basi na sisi tumeona tukuletee VIATUZI vya kuvaa ofisini vipya kabisaaaaa , ili uanze mwaka ukiwa ma mwonekano tofauti . Hivyo basi usikose dukani kwentu mbuyuni kesho 29/12/12 saa tatu asubuhi , kwani ndio tutakuwa tunafungua mzigo mpya wa kufungia na kufumgulia mwaka.

No comments:

Post a Comment

New arrivals

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...