Wednesday, 30 January 2013

NEW ARRIVALS AT VIATUZI SEA-VIEW


Ndugu wateja kesho tunafungua mzigo mpya na wa  ukweli Viatuzi Sea view . Angalia picha hapo chini kuona baadhi ya Viatuzi vipya vitakavyo kuwepo dukani . Mbali na viatuzi vipya ile ofa yetu ya Bargain of the week ndio kwanza inaendelea kunoga . new arrivals na punguzo la bei !!!!!Haijawahi kutokea , hivyo basi hakikisha haukosi ili tuuwe ndege wawili kwa jiwe mojaaaa.........
 Tutakuwa wazi kuanziaa saa tatu asubuhi........ Karibuniiii

No comments:

Post a Comment

New arrivals

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...