Friday, 4 January 2013

Viambatanishizi at Viatuzi


Viambatanishizi mbalimbali hupatikana kwenye maduka yetu yaliyiopo Sea view na Mbuyuni .Kiatu mwenzie ni mkufu na hereni nzuri . Karibu ujinunulie viambatanishi mbalimbali kwa bei poa kabisa. Bei zetu za Viambatanishi huanzia 5000/ hadi 50,000 . Tunauza hereni moja moja , seti za kumechisha , bangili , vibanio , viua vya kuweka kichwani , mikanda n.k Karibuni

No comments:

Post a Comment

New arrivals

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...