Siku chache zilizopita nilikuwa na hiki kiatuzi dukani , Leo katika pita pita zangu kwenye blogs mbalimbali za fashion nikaona njia tano za kuvalia kiatuzi chako . Haya kwa wale Wendy's hiki kiatuzi na vingine vinavyofanania mambo ndio Kama hayo , using one harusi tu . Weekend njema Wapendwa.........
No comments:
Post a Comment