Sunday, 26 May 2013

Viatuzi hivi vinawafaa sana wale wasiopenda michuchumio ,urefu wake ni 1 inch ,na material iliyotumika kukitengeneza ni ngozi tupu. Hivu na vingine vyote unavyovina hapa kwenye blog vitakuwa dukani kwetu siku za karibuni , andaa masenti.


No comments:

Post a Comment

New arrivals

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...