Kwa kweli huwa namzimia sana huyu dada na nyimbo zake , tangu enzi zile za ule wimbo wa Machozi mpaka YAHAYA . Kama mnavyoona hapo kwenye Fotozi nilizorusha , nilipata bahati ya kutembelewa naye , akashop nasi . Asante kwa kusupport Viatuzi . WE LOVE U .............
No comments:
Post a Comment