Friday, 15 November 2013

Colour block peetoes


Shoelovers , hivi viatuzi vinausika sana kwa kuvalia vidress vyetu kwenye shughuli mbalimbali , pata picha umekitilia na kidress chako cha kitenge chenye moja ya hizo rangi . Nadhani sina haja ya kuendelea kusema sana mpaka hapo utakuwa umeshapata  picha. Basi kaa mkao wa kula kwani mambo haya mazuri yatakuwa viatuzi  hivi karibuni . Kiatuzi hiki kimetengenezwa na ngozi na kina urefu wa inchi 4 ,price 178,000/- . Habari njema kwa wateja wetu wa mikoani , sasa tunatuma viatuzi kwa kutumia esm na basi . wasiliana nasi kwa maelezo zaidi 0752-850855 na 0715-850855.

No comments:

Post a Comment

New arrivals

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...