Kiatuzi hiki nilikiona mara ya kwanza http://www.8020fashion.blogspot.com/ , Kilivyotoka tu Fashionista wangu mmoja ambaye nina uhakika kwamba shoe rack yake ni kama ya Mariah Carey , na soon atashare na sisi Viatuzi vyake vyote akaniagiza , picha ya kwanza hapo juu ni ya kiatuzi ambacho tumeuza sie Viatuzi , wakati inayofuata nimeitoa Bella Naija na ya chini kabisa ni kutoka Jadore , kusema ukweli I like the way Jadore rocks her shoes together her viwalozi. Ndugu mteja Viatuzi kama hivi na vinginevyo vingi tu unaweza kuviagiza kwetu hivyo basi kama unakitaka tuwasiliane .
No comments:
Post a Comment