Tuesday, 23 August 2011

Shoe Lovers wa ukweeeeeeeli



Katika pita pita zangu , nikamtembela Shosti wangu mmoja , duuh huyu dada kwa kweli ni Shoe lover wa ukweli, hiyo hapo juu ni shoe rack yake , na hapo kuna vingine hajavipanga kwenye shoe rack bado vipo kwenye mabox , kwa kweli nilivutiwa na hiyo shoe rack , hivyo nikaona ni vema kushare na wengine au wenzangu wenye viatu vingi kama hivyo kwamba unaweza ukachonga shoe rack kama hiyo na ukapanga viatuzi vyako na vikaonekana nadhifu.

Picha inayofuata ni ya Christina Aguilera na ya chini ni Mariah Carey , well nikiwa na mapesa kama yake hata mie ningevijaza hivyo wanadada wana viatuzi balaa.

No comments:

Post a Comment

New arrivals

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...