Saturday, 24 September 2011

VIATUZI VYA UKWEEEEELI




Katika kuzurura kwenye blog ya Shamim Zeze nikakutana picha za Dadaz in Viatuzi vyao , kusema kweli nikavutiwa na pia ,nilipenda jinsi walivyo pangilia viwalozi vyao ,kwa kweli wanajua kuvalia pia. Shurti ukivaa gauni refu kiatu chako kiasi kiwe cha wazi kama sio mbele basi hata nyuma .Mmependeza wadada.

No comments:

Post a Comment

New arrivals

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...