Nilipenda viwalozi vyao, Dadazi wapemendeza saana mpangilio wa vitu vyako kutoka juu hadi chini , ndio maana hata zeze aliona awafotoe na kuwarusha . Kwa maoni yangu hii inaonyesha jinsi gani unaweza ukavaa nguo ya heshima na kujistiri na bado ukapendeza sana tu. Bila kusahau viatuzi vyao vya ukweli.
No comments:
Post a Comment