Sunday, 30 October 2011
Viatuzi October/November Collection
Ndugu wateja wetu wa VIATUZI na VIAMBATANISHOZO kesho mida ya saa nne asubuhi tunafungua mali mpya kutoka LONDON , yaaniii huu ni mzigo wa nguvu , kuna viatuzi , viclutch, viambatanishozo na viwalozi vya ukweliiiiiiiiii. Hakikisha unafika bila kukosa , usiwe mchoyo mwambie na shoga yako habari njema . Na hapo chini ni baadhi ya picha tu , viatuzi vipo vingi saaaaana na vya mitindo mbalimbali , na bei zetu ni poa kabisaaaaaaaaa , na pia tunayo payment plan nzuri tu . KARIBUNI SANA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
New arrivals
No comments:
Post a Comment