Viatuzi ndio kama hivyo tena tutatoa zawadi ya viatuzi au vituzi vya 100,000/=
Katika kuhangaika nitoke vipi, Dada yangu Robi mapozi wa Mapozi designs ndie atakaenitoa mimi , lakini kama unavyoona hapo juu , ana viwalozi vingi tena kwa bei poa kabisa , hizi ni baadhi ya picha , lakini anazo nyingi sana . Fundi Nassor atakucheleweshea nguo yako ingia mapozi designs , nenda kachukue kiwalozi chako kiweke kabatini huku ukiwa unangoja shughuli yetuzi..................... wasiliana naye number iko hapo chini.
Ms. Robi Morro
Dar es Salaam
Tanzania.
Tel: +255 787 566677


No comments:
Post a Comment