Tuesday, 8 November 2011

Viatuzi ndani ya miaka mitano ya 8020 Fashions

Viatuzi tulipata cheti cha shukrani kutoka 8020 , ingawa mimi kwa upande wangu nilitakiwa nitoe shukrani zangu maana kupitia 8020 blog , nimepata wadau wengi saaaaaaaana wa viatuzi. Asante Dada Shamim Mungu akubariki na akuzidishie zaidi. by the way  Kigauni changu kimeshonwa  na dada Pascalina ambaye ni fundi wa kujitegemea na ukimpigia anakufuata pale ulipo. Number yake ni +255713297750.
Viatuzi  na viambatanishoz nilivyotinga mie na Shamim ni kutoka Viatuzi Seaview Ocean Road. Wasiliana nasi kwa number +255715850855.  Na hapa shini ni baadhi ya wadau wa VIATUZI niliokutana nao kwenye shughuli ya Shamim pale Diamond .




No comments:

Post a Comment

New arrivals

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...