Huyu dada , huwa ananiacha hoi na viatuzi vyake , kusema ukweli kwa hesabu zangu za haraka haraka nadhani ana viatuzi vya zara zaidi ya 50 , maana kila toleo analo. Kama unavyona hapo juu viatuzi pia hatupo nyuma , kwenye mzigo wetu wa November Vipoooo.Karibuni saaaaaana.
No comments:
Post a Comment