Wednesday 9 November 2011

Pumps / KT





Kuna zile siku moja moja ambazo mtu haujisikii kuwa juu sana , au kwa wale wasiopenda viatuzi virefu kabisaaaaa , Viatuzi tuna pumps nyingi sana na za rangi mbalimbali. Kama ilivyo ada bei zetu ni poa kabisa na vinapatikana kwenye size 3- size 9  Uk . Karibu sana.

4 comments:

  1. hizo kt shilingi ngapi jamani.?

    ReplyDelete
  2. hello viatuzi hw ar u? sorry ninaombi moja kwetu siku za nyuma tulikuwa tukitaka kiatu tunaangalia blog kisha unamuonyesha picha hata dereva wa ofisi na cahs mkononi anakuja kuchukua sbb mlikuwa mnaweka bei lkn siku hizi mmekuwa tofauti pls rudieni kama zamani,..twende na wakati.

    ReplyDelete
  3. HOW MUCH ARE THE PUMPS,PLIZ ASSIST!

    ReplyDelete
  4. plz ma dia tunaomba ukiwa unapost stlye tunaomba weke na price mamie inasaidia hata ukatuma mtu afu kuwe na duka jingine mbali na uko like sinza hivi just maoni

    ReplyDelete

New arrivals

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...