Wednesday 9 November 2011

Viatuzi vya kazini.












Kwa wale ambao hampendi kuvaa VIATUZI virefu saana na vile vyenye  kisigino chembamba , napenda kuwajulisha kwamba , duka letu lina viatuzi vya aina zote , sio virefu , kamainavyooonekana kwenye picha hapo juu na  viatuzi hivyi vinapatikana kwenye size mbali mbali, kuanzia size 3 - size 9. Karibuni sana

1 comment:

  1. mie ni mpenzi sana wa viatu,sema nilipo hakuna hii huduma jamen siku nikitinga dar ndo cha kwanza apo kwenu,,,i hope mnavyo km mnavotutundikia hapa
    designers original shoes mnazo mf CL nk???

    ReplyDelete

New arrivals

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...