Vaituzi hivi unaweza ukavivaa pale unapokuwa na mtoko au shughuli, kama vinavyoonekana kwenye picha baadhi unaweza vivaa mchana na pia usiku , na vingine kutegemeana na shughuli ambayo unaenda unaweza ukavitumia bila kujali kama ni mchana ama usiku , nikiwa na maana kwamba unaweza kuvivaa mchana na usiku. Bei ya Viatuzi hivini kuanzai Tsh 85,000- 195,000/= . Karibuni.
No comments:
Post a Comment