Friday, 2 December 2011

Size 8



Satin red high heel, kiatu hiki kinafaa kwa shughuli mbalimbali , kama harusi , kitchen party n.k , uzuri wa kiatu kama hiki ukivae na kigauni ambao hakitafunika marembo yake kwa hapo nyuma.  Bei yake ni Tsh. 178,000/-

Red medium high heel pump , kiatuzi hiki kinaweza kuvaliwa kanisani , au kwenye masherehe yetu ya kila siku , na kisigino chake si kirefu sana  hivyo kinawafaa sana wale ambao hawapendi viatu virefu sana . Bei Yake ni Tsh. 153,000/-

Grey office shoe , kama nilivyo kiita kiatu hiki kinafaa sana kwa kuendea kazini , na uzuri wake ni kwamba utaweza kukivaa na suti yako nyeusi , au suti yenye mistari ya kijivu au hata vile vigauni vyetu vya suti ambavyo huwa tunavaa kazini , mbali na hapo unaweza kuamua kikivaa na skirt au kitu chochite ambacho wewe utapenda kukivalia . Kwa sisi wenye miguu mipana viatu vya round mbele huwa vinafaa sana kwani husaidia vidole vyetu kuwa comfortable . Bei yake ni Tsh 98,000/-.

Maroon office shoes , watu wengi tunapenda viatu vyeusi , basi utakuta kwenye shoe rack hakuna kiatu cha rangi nyingine hata kimoja . Ushauri wangu kwenu ni kwabwa ni vizuri kuwa na viatu vya rangi mbalimbali , kwani muonekana  tofauti kwa mwanamke ni muhimu sana , na muonekano ni pamoja na Viatuzi vyako . Bei ya hiki ni  Tsh 128,000/=


Kiatu hiki cha silver, ni maalu kwa ajili ya shughuli , na upendeza zaidi kikivaliwa jioni. Mbali na sie waalikwa ,pia kinawafaa mabibi harusi na hata wasimamisi wao. Bei yake ni Tsh.138,000/-


Black Aldo, High heel sandal, inafaa kuvaliwa na gauni refu ,au fupi . Hapa uamuzi ni wako.Bei yake ni Tsh.153,000/-

Nude office shoes, these are perfect for work , and for those who are not comfortable with thin heels even though they love high heels. As it is in the case of purple , nude is the new black. Bei Tsh.128,000/-

 Zara mustard low heel shoe , this is one of my favorites in November/December Viatuzi collection . You can wear this shoe at work , or at any other event , and the best part about it is that it goes perfect with almost anything for example Kitenge , trouser , pencil skirt etc . Price Tsh. 178,000/-



  Pumps , maarufu kama kanyaga twende ; hivi pia vinapatikana viatuzi na nei yake ni kati ya Tsh 68,000/-  hadi Tsh. 78,000/-


 Black office shoes , kutoka juu ni Tsh . 98,000/- , kunachofuata ni Tsh. 78,000/- , Tsh 143,000/- na Hicho cha mary jane ni Tsh 148,000/-






Wanawake na wasichana wengi ikifika weekend , au  mida ya jioni au pale tusipolazimika kuvaa viatu vya kufunika huwa tunapendelea sana kuvaa sandals fupi na za wazi kama hizo hapo juu, na sisi kwa kutambua hilo , tunazo sandals za kutosha nzuri na zakusumu za kukidhi mahitaji yako. Bei ni kuanzia Tsh 68,000/- - Tsh 78,000/-.

 Brown leather office shoes , I love the tan and the heel , not too high and it perfect kwa mawe yetu ya bongo , maana kama unavyokiona kisigino chake  ni cha mbao ambacho kwa kiasi kibubwa kinahimili shoruba za kokoto zetu na mawe pale tunapokuwa tunatembea na miguu. Bei yake ni !48,000/=


Maroon  Low heel office shoes  sold at 118,000/- karibu

1 comment:

  1. hapa umefanya la maana kuweka bei,nikija nakuwa nimejiandaa.sio kufika na elfu 50 unaumbuka...!Nitakuja

    ReplyDelete

New arrivals

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...