Wapendwa wateja wetu wa Viatuzi, leo tunafungua mzigo mpya wa viatuzi kutoka USA na UK. Bei zetu ni poa kabisa , zinaanzia sh 65,000/- 195,000/-, na tunazo size zote kuanzia No.3- No .9. Mbali na hayo Kuna nguo , mikoba , na viambatanishozi vya kufa mtu . Njoo ujipatie viatu vipya Xmas hii , na pia unaweza kumnunulia mtu zawadi.Karibuni
No comments:
Post a Comment