Mwanamke ni sura, nywele na kiatuzi pia , kwani unaweza kuvaa nguo nzuriiii lakini kama kiatu chako ni kibaya au kimechoka kitapunguza mvuto au mwonekano wako , hivyo ni vema ukavaa nguo nzuri na kiatuzi kizuri kutoka viatuzi.
Picha zote ni kwa hisani ya 8020 fashion Blog , na viatuzi vimetoka dukani kwetu Viatuzi , Sea View Ocean Road . Karibuni.
No comments:
Post a Comment