Joseline kapendezaje , kutoka juu mpaka chini ? I love the combination of her dress and shoes , kwani hakuna kitu kizuri kama kuvaa black na rangi tofauti , kuliko kuvaa full black juu mpaka chini . Umependeza mdada . Viatuzi kama kawa ni kutoka VIATUZI.
No comments:
Post a Comment