Gertrude na kiatuzi chake kutoka viatuzi , amependezaje ?? kiatuzi hiki kilivaliwa siku ya kitchen party yake. Kwa kweli amependeza sana . Je na wewe ni Bibi harusi mtarajiwa na unataka kupata viatuzi kwa ajili ya shughuli au siku yako maalum ?? wasiliana nasi upate viatuzi vyako . Karibu
No comments:
Post a Comment