Wednesday, 11 January 2012
Njoo ujinyakulie chako viatuzi
Kwanini ungoja miezi au mwaka hadi ili uweze kwenda na fashion , wakati vituzi vizuri kama hivi vinapatikana hapa hapa bongo ? Kama unavyoona hapo juu Tia , kwa upande wa kulia ambaye ni muigizaji kwenye series za The Game kavalia kiatuzi chake , lakini na sie na hatuko nyuma ili kukuhakikishia kwamba una kwenda na wakati tumekuletea kiatuzi kama cha Tia , na vingine kama inavyoonekana hapo juu. Bei zetu ni poa kabisa na vipo kwenye size mbalimbali . Karibuni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
New arrivals
No comments:
Post a Comment