Sunday, 8 January 2012
Punguzo la bei ya Viatuzi .
Ndugu mteja , dukani kwetu viatuzi tuna punguzo kubwa sana la bei za viatuzi vyetu zamani yaani old stock , bei za viatuzi ambavyo viko kwenye punguzo bei zake ni kuanzia TSH 15,000- 60,000 TU . Wahi sasa upate viatuzi kwa bei poa kabisaaaaaa , hili ni punguzo kabambe halijawahi kutokea , na mzigo huo wa zamani lazima uuzwe na uishe wote . Karibuni.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment