Mpendwa Mteja , kesho 21/01/12 saa tatu asubuhi tutakuwa na Viatuzi Bargain of the week au Punguzo la Viatuzi vya week , Punguzo hili litakuwa kwenye viatuzi vya ofisini , Kama vinavyoonekana hapo chini kwenye picha , na punguzo litakuwa shilingi elfu 23,000/- kutoka kwenye orginal price . Hivyo kama kiatu kilikuwa kinauzwa 123,000 unatoa 23,000/- hivyo kitakuwa kiaenda kwa 100,000/=KESHO KUANZIA SAA TATU KAMILI Usikose punguzo hili ni kwa muda maalum .OFA HII NI MAALUMU KWANI KESHO VIATUZI ITAKUWA IMEFIISHA MIAKA MIWILI . KARIBUNI
No comments:
Post a Comment