Monday, 20 February 2012

Flat shoes and sandals








Flat shoes na sandals ni viatu ambavyo vinafaa sana pale wakati mtu unakuwa haujisikii kuvaa mchuchumio , kama kawaida bei zetu ni poa kabisa , flat shoes zinauzwa kati ya Tsh 35,000- 85,000/- karibuni

1 comment:

  1. SAMAHANI MY DEAR HICHO KIATU CHA KWANZA BEI GANI JIBU PLIZ MPENZI.SHILINGI NGAPI MAANA UMESESMA VIATU VYA DIZAINI HIYO NI 35,000 HADI 85,000 SO HICHO KIATU CHA MNYAMA AU CHA KWANZA KWENYE PICHA SH NGAP JIBU MUHIMU ILI NIJUE NAWEZA KUTUMA HIYO HELA AU SIWEZI NIKAFIE MBELE HUKO.

    ReplyDelete

New arrivals

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...