Clutch bags ni vipochi vidogo ambavyo hutumika sana , pale tunapotoka jioni kwenda muziki , au kwenye sherehe , na hivi vinatumia badala ya mikoba mikubwa ambayo huwa tunabeba kwenda kazini mchana . Vipochi hivi hutusaidia wadada kuweka vitu vyetu kama simu , na poda zetu kwani nguo zetu nyingi hazina mifuko kama yalivyo makoti ya kina kaka .
Clutch bags ni moja ya viambatanisho na mambo yote haya utayapata viatuuziiii tu kwa bei poa kabisa , pbei zetu za clutches zinaanzia 40,000- 75,000/- .Karibu ujipati clutch ya kumechisha na nguo yako au ya kufanyia ,a,bo ya colour blocking .
No comments:
Post a Comment