Ndugu Mteja , tumefungua mzigo mpya wa viatuzi , accessories a.k.a
viambatanishozi vya ukweliiiii , pamoja na clutch bags . Bei zetu ni poa
kabisa kwani unaweza kupata kiatu kuanzia Tsh 30,000 , Karibu sana
dukani kwetu SEA VIEW OCEAN ROAD ujionee Mamboz na Mavituzi kwa ajili
ya ofisini , harusi , Mtoko n.k. Hapo chini ni baadhi ya mambo mazuri
yaliyomo Viatuzi .
NJOO LEO TUONGEE KWANI TUNA MALIPO PLAN OR
PAYMENT PALN NZURI KABISA AMBAYO INAWAFAA SANA WAFANYAKAZI , na WATU
WENGINE WOTE. KARIBUNIIIIIIIIIII
Mambo vipi Olivia,
ReplyDeleteViatu vyako vizuri sana
Samahani nilikua nataka kujua bei ya viatu hivyo vilivyokua mguuni namba 12,16,20,52,na 59 nitashukuru kama utanijibu leo ili nijue nakuja na kiasi gani kwa hivyo viatu nilivyokuambia,unaweza ukani sms kupitia namba 0754-665252