Thursday 9 February 2012

Ndugu Mteja , tumefungua mzigo mpya wa viatuzi , accessories a.k.a viambatanishozi vya ukweliiiii , pamoja na clutch bags . Bei zetu ni poa kabisa kwani unaweza kupata kiatu kuanzia Tsh 30,000 , Karibu sana dukani kwetu SEA VIEW OCEAN ROAD  ujionee Mamboz na Mavituzi kwa ajili ya ofisini , harusi , Mtoko n.k. Hapo chini ni baadhi ya mambo mazuri yaliyomo Viatuzi .
NJOO LEO TUONGEE KWANI TUNA MALIPO PLAN OR PAYMENT PALN NZURI KABISA AMBAYO INAWAFAA SANA WAFANYAKAZI  , na WATU WENGINE WOTE. KARIBUNIIIIIIIIIII

1 comment:

  1. Mambo vipi Olivia,

    Viatu vyako vizuri sana

    Samahani nilikua nataka kujua bei ya viatu hivyo vilivyokua mguuni namba 12,16,20,52,na 59 nitashukuru kama utanijibu leo ili nijue nakuja na kiasi gani kwa hivyo viatu nilivyokuambia,unaweza ukani sms kupitia namba 0754-665252

    ReplyDelete

New arrivals

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...