|
Wedges are forever in shoes , just lIke diamonds in precious stones, depending on how they are made , wedges are always on point . Wedges zinawafaa sana watu ambao hawapendi kisigino chembamba lakini wanataka kuvaa viatu ambavyo viko juu, pia ni nzuri kwa sie tunaopenda michuchumio regardless of the style . Viatuzi hivi unaweza kuvivaa mchana au jioni , the choice is yours , they can be worn with a dress , skinny jeans , leggings etc. |
|
A beautiful pair for the special event , this can be a wedding , nite out with friends or any other event as I have mentioned , its comfortable and very dressy . Rangi zake zinakuwezesha kukivaa na nguo zaidi ya tatu . |
|
Hot pink , is like new black , kwani unaweza kuitumia kublock the colours kwenye nguo zako pia , unaweza kuitumia kungarisha nguo haswa pale unapokuwa umevaa dark colours kama nyeusi , dark blue , dark purple n.k |
|
Ukiwa kama mwanamke , ni jambo la muhimu sana kuhakikisha kwamba unaponunua viatuzi vyako , uwe unachanganya rangi , yaani uwe unanunua viatuzi vya rangi mablimbali kwani hii itakusaidia kutoka tofauti kila siku na wakati wote. |
|
I love the mixture of tangerine orange and nude is beautiful , yaani hapa unaweza kukaamu kuvaa na viambatanisho vya orange au gold na ukatoka poa. | | | | |
|
VIATUZI HIVI VINAPATIKANA VIATUZI KWA BEI POA KABISA , KARIBUNI.
olivia nataka hiki kiatu cha tangarine orange na nude, namba 38, nakuja leo jioni dukani kwako..
ReplyDelete